Ijumaa, Machi 27, 2015 Local time: 06:33

Habari / Afrika

Wanamgambo wa kiislam wenye uhusiano na Alqaeda wanashikilia watu 41.

Waziri wa Ulinzi Leon Panetta akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.Waziri wa Ulinzi Leon Panetta akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.
x
Waziri wa Ulinzi Leon Panetta akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.
Waziri wa Ulinzi Leon Panetta akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.

makala zinazohusiana

Wanamgambo wa kiislam nchini Algeria wenye uhusiano na Al qaida  wanawashikilia watu wapatao 41 ambao walikuwa wakifanya kazi katika eneo la gesi  ya asili kwa kile wanamgambo wanakiita ni kulipiza kisasi kwa hatua za jeshi la ufaransa nchini Mali.
Msemaji wa alqaeda katika eneo la Afrika magharibi (AQIM) aliiambia Sauti ya Amerika  kwamba wamarekani saba walikuwa ni kati ya waliotekwa nyara. Wengine wanafikiriwa kuwa ni pamoja na Waingereza , Wafaransa na WaNorway.
Msemaji Oumar Ould Hamaha alisema Jumatano kama wamarekani wanataka kusaidia Ufaransa watakumbana na matatizo.
Anasema Ufaransa imetangaza vita na watu wa magharibi wataumia kama vita hivyo vikiendelea.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani  Leon Pannetta amesema ukamataji huo ni kitendo cha kigaidi. Anasema Marekani itachukua hatua zote madhubuti kuweza  kupambana na hali hiyo.
mjadala huu umefungwa
Maoni
     
There are no comments in this forum. Be first and add one
 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

 • VOA Express
  30 min

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za...

 • Alfajiri
  30 min

  Alfajiri

  Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za...

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Ajali barabarani Tanzania zaongezekai
|| 0:00:00
...  
🔇
X
18.03.2015 16:17
Matukio ya ajali mbaya za barabarani Tanzania hivi karibuni zinasemekana kuwa ishara ya ongezeko la uzembe na kutozingatia sheria za usalama barabarani, kulingana na watalaam.