Jumamosi, Machi 28, 2015 Local time: 14:01

Habari / Afrika

Goma yatekwa na waasi wa M23

 • Wakazi wa Goma wakimbia baada ya mji wao kutekwa na wapiganaji wa M23
 • Polisi wa mji wa Goma wakusanyika katika uwanja wa michezo Goma siku ya pili baada ya M23 kuuteka mji huo
 • Wanajeshi wa serikali ya Kongo baada ya kushindwa na wapiganaji wa M23.
 • Wapiganaji wa M23 waingia Goma
 • Mwanajeshi wa DRC auliwa na M23
 • DRC M23 rebels in Rutshuru
 • DRC waasi wa M23 mitaani Goma
 • Wapiganaji wa M23 wawasili Goma
 • DRC waasi wa M23 wapiga doria Goma
 • Msemaji wa M23 Vianney Kazarama
 • Utulivu unaone3kama umerudi Goma Jumanne jioni
 • Wanajeshi wa serikali ya Kongo baada ya kushindwa nguvu na wapiganaji wa M23.


Wapiganaji wa kundi la waasi la M23 huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi  ya Congolwamechukua udhibiti wa mji wa Goma, risasi na mizinga ilirindima kwenye mji huo tangu jana usiku ambapo serikali ya DRC ilidai bado inaudhibiti wa mji wa Goma.

Lakini mwandishi wa VOA aliyeko Goma anaripoti kuwa askari wa jeshi la serikali FARDC wameukimbia mji huo na waasi wameukamata mpaka uwanja wa ndege wa Goma na hivi sasa mji uko chini ya udhibiti wa waasi hao.

Kwa mujibu wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani tayari watu 60,000 wameshapoteza makazi yao na wengi wanakimbilia Bukavu.

Hata hivyo Jumanne wafanya kazi wa Umoja wa Mataifa MONUSCO na viongozi wa serikali ya Congo walibebwa kwa ndege za UN na kupelekwa Bukavu na wengine Kinshasa.  Jeshi la kulinda amani la umoja wa mataifa limeonekana katika mji likiwa katika vifaru vyao.

Waasi wanashikilia kwa sasa radio ya serikali na Uwanja wa ndege pamoja na mipaka ya Rwanda na DRC.
 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

 • VOA Express
  30 min

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za...

 • Alfajiri
  30 min

  Alfajiri

  Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za...

 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Waandamana kupinga ubakaji Kenyai
|| 0:00:00
...  
🔇
X
27.03.2015 18:06
Mamia ya wanawake nchini Kenya hivi majuzi walishiriki maandamano kupinga vitendo vya ubakaji ambayo vimekithiri nchini humo