21:36 - 21:54 Ijumaa 17 Mei
Mazungumzo juu ya mfumo mpya wa utawala Kenya na changamoto za utawala.
19:51 - 20:05 Jumatano 15 Mei
Mahojiano na Deus Kibamba.
18:01 - 18:05 Jumamosi 11 Mei
Miongoni mwa vituko vya wiki hii mwanamke arudi nyumbani baada ya kutoweka kwa miaka 20 huko magharibi mwa Kenya
16:54 - 17:13 Jumamosi 11 Mei
Balozi Augustine Mahiga anazungumzia juu ya changamoto zinazoikabili serikali mpya ya Somalia na mustakbal wa nchi hiyo hivi sasa.
21:28 - 21:31 Jumanne 7 Mei
Mkutano wa viongozi juu ya Somalia umemalizika Londo kwa kuahidi msaada mkubwa wa maendeloe kwa serikali mpya
21:28 - 21:32 Jumanne 7 Mei
Mkutano wa London ni muhimu kuitambulisha serikali mpya na kuna matumaini makubwa ya kupata msaada.
22:04 - 22:23 Ijumaa 3 Mei
04:23 - 04:25 Jumatano 17 Apr
Wabunge wa chama tawala cha MRN wanaodaiwa wamekihama chama wamefukuzwa kutoka bungeni .
06:45 - 06:49 Jumanne 9 Apr
wakenya wasubiri kwa hamu sherehe za kihistoria za kuapishwa rais mpya aliyechaguliwa katika uchaguzi wa amani.
06:21 - 06:24 Jumatano 27 Mac
Mahakama kuu ya Kenya imeanza kusikiliza malalamiko ya mungano wa CORD kuhusiana na matokeo ya uchaguzi wa rais
06:56 - 07:00 Ijumaa 8 Mac
Lazima wanasiasa waiachie IEBC kuendelea na kazi zake
23:25 - 23:28 Alhamisi 7 Mac
23:18 - 23:23 Ijumaa 22 Feb
Ole Kiyapi ni mgeni katika siasa za Kenya na anamatumaini kuleta damu mpya katika mageuzi nchini humo.
23:15 - 23:18 Ijumaa 22 Feb
Muite mwanasheria muasisi wa chama cha Safina anamatumaini ya kushinda na kuleta mabadiliko makubwa nchini Kenya
23:13 - 23:16 Ijumaa 22 Feb
Raila Odinga waziri mkuu amekuwa akiongoza katika uchunguzi wa maoni na anatarajia safari hii atapata ushindi kwa urahisi kuliko wakati wa uchaguzi wa 2007
23:07 - 23:10 Ijumaa 22 Feb
Martha Karua ni mwanamke wa kwanza kugombania kiti cha rais Kenya
16:03 - 16:05 Alhamisi 21 Feb
19:15 - 19:18 Jumatatu 18 Feb
Askofu Mkuu alaumu idara za usalama kwa kushindwa kudhibiti ghasia za kidini.
19:12 - 19:15 Jumatatu 18 Feb
Uhuru amejibu tuhuma za Raila kwamba serikali inapanga njama ya kumibia kura wakati wa uchaguzi
19:24 - 19:27 Alhamisi 24 Jan
waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Hillary Clinton alitetea msimamo wa serikali kuhusiana na shambulizi la Benghazi na kukiri amewajibika kwa sehemu fulani.
Msako wa wanachama wa kundi la wanamgambo wa Nigeria Boko Haram wauwa 14 na kunasa wengine 85
Serikali mpya wa Rais Kenyatta imeanza kazi huku maafisa wa serikali za County bado wanatafuta mahala ya kufanyia kazi kutokana na mfumo mpya wa utawala
Mashahidi waliripoti kuwepo wanajeshi na ndege za kivita huko Borno na zaidi ya watu 3,000 wameuwawa katika ghasia zilizohusisha Boko Haram
Rais Obama alisema kuwa wote wanakubali kwamba Assad lazima aondoke. Na kwamba anapaswa kukabidhi madaraka kwa viongozi wa serikali ya mpito.
Pia baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha kikosi kipya kuingilia kati huko Congo ili kupambana dhidi ya makundi ya waasi huko
Serikali ya Mali ilitumai kuwa wafadhili wa kimataifa watakuwa wakarimu kwa taifa hilo la Afrika magharibi, na hivyo ndivyo ilivyokuwa.
Elimu duni kwa wananchi pamoja na siasa za vyama zatajwa kuingilia mchakato wa katiba.
Rais Jonathan alisema waasi wameteka maeneo ya Borno na aliagiza idara za usalama kutumia hatua zote muhimu kusitisha uasi katika eneo hilo
Majimbo ya Borno, Yobe na Adamawa kaskazini mashariki mwa Nigeria yamo chini ya ulinzi mkali.
Waandamanaji waliwanywesha nguruwe damu kwenye milango ya bunge katika mji mkuu Nairobi kama ishara kwa wabunge kuonesha ishara ya “tamaa.”
Kundi lenye siasa kali la Boko Haram lasema limeanza kuteka nyara wanawake na watoto kupinga serikali ya Nigeria.
Wapakistani wanamatumiani kwamba serikali mpya itaweza kutanzua matatizo mengi ya kiuchumi na usalama nchini humo.
Majeshi ya Kenya yakata kuruhusu ndege yenye wazee wa Kismayo kutua huku mvutano ukijitokeza kwenye mkutano wa kuwachagua wajumbe wa majimbo ya Jubba.
Awamu ya pili ya kurudisha utawala wa Somalia ilizunduliwa Londo ili kukamilisha mfumo wa usalama, haki na mahakama na na ujenzi mpya wa uchumi amesema Balozi Mahiga.
Kesi ya utekaji nyara wa wasichana watatu Marekani yashtua wengi Marekani na nje ya Marekani.
Shutuma hizo zimewashtua raia wengi huko Uganda.
UAE ilithibitisha kwamba raia wake watatu walikamatwa nchini Tanzania kufuatia tukio hilo la mlipuko wa bomu mjini Arusha
Wabunge waaamua kutoa posho yao ya siku moja kwa ajili ya kuwafariji wahanga wa shambulio hilo.
Wafadhili waahidi kutoa msaada zaidi, huku wafanyabiashara na wawekezaji wakutana kujadili namna ya kufanya biashara katika Somalia mpya.
Serikali ya Uganda imetoa vifaa vya dharura na chakula kwa watu walioathirika na mafuriko hayo