No media source currently available
Baadhi ya wapiganaji wa vita vya Mau Mau vya kuikomboa Kenya kutoka ukoloni wa Uingereza wanasema wamesahauliwa kabisa na taifa lao kwa vile wao raia kutoka kabila la wa Kikuyu.