No media source currently available
Rais John Magufuli wa Tanzania awataka wakuu wa mikoa na wilaya na mamlaka husika kutowaondowa wamachinga na wacimbaji migodi wadogo hadi pale utaratibu umepatikana kuwapa mahala pazuri.