No media source currently available
Maelfu na Maelfu ya wanawake waandamana Washington na miji mingi ya dunia kulaani sera na siasa za rais mpya wa Marekani Donald Trump.