No media source currently available
Wiki hii mdahalo wa kwanza wawagombea kiti cha rais ulifanyika Jumatatu ambapo uchunguzi unaonesha Hilary Clinton amemshinda Donald Trump kwa asili mia 72 dhidi ya asili mia 22.