Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Mei 21, 2024 Local time: 21:49

Madereva wa mabasi wagoma Eswatini


Mfalme Mswati III wa eSwatini akiwa na mgeni wake rais wa Afrika KuseSwatini South Africa. November 3, 2021.
Mfalme Mswati III wa eSwatini akiwa na mgeni wake rais wa Afrika KuseSwatini South Africa. November 3, 2021.

Madereva wa mabasi katika miji mikubwa miwili ya Eswatini waligoma siku ya  Jumatano, na kuziba barabara kuu zinazoelekea miji miwili mikubwa wakipinga kupanda kwa gharama ya mafuta.

Chama cha wafanyakazi kilisema kwamba Madereva wa mabasi makubwa na madogo wamefunga barabara zinazoingia Mbabane na Manzini wakitaka wadhibiti wa serikali kuongeza nauli na mishahara.

Bei rasmi ya petroli ilipanda kwa karibu asilimia sita mwezi uliopita, kufikia dola 1.06 kwa lita ikiwa ni ongezeko la tatu katika miezi sita.

Madereva wanataka serikali kuongeza karibu maradufu ya nauli wanazoweza kutoza, huku pia wakiongeza mishahara yao kutoka lilangeni 1,500 hadi 4,000 kwa mwezi. Msemaji wa chama cha wafanyakazi, Wonder Mkhonza anasewa wakei wananchi wa Eswatini iliyokua ikijulikana kama Swaziland, wanakabiliwa na ughali wa maisha na umaskini Mfalme wao Mswati ameamua kununua ndege mbili kubwa

XS
SM
MD
LG