Fidel Castro afariki akiwa na umri wa miaka 90 akiachanyuma historia ya kutatanisha ambapo wakazi wa nchi zinazoendelea wanamchukulia mkombozi mpenda maendeleo, huku nusu ya wakazi wake wakimtaja mkandamizaji kiongozi wa mabavu. Hata hivyo wakazi wengi wanamchukulia ni mkombozi wao.