Haki za wanyama bado hazifuatwi nchini Kenya ambapo daktari wa wanyama anaeleza jinsi wale wanaoletwa katika hospitali yake wanavyo kuwa na majeraha yaliyo sababishwa na wanadamu.
Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani : Waandishi katika mazingira hatarishi Afrika Mashariki
Waziri Mwakyembe : “Tunaongelea kesi ambayo ni dhaifu sana, tena sana. Mwandishi huyu amepotea eneo ambalo mamia ya watanzania wengine wamepotea...
“ unaweza kuona pande mbalimbali za dunia wakati serikali zikikabiliwa na matatizo au wakifanya kitu ambacho wananchi hakiwapendezi kama vile mapinduzi, kupinga matokeo ya uchaguzi, ndio wakati ambao huvifungia vyombo hivyo vya habari.
Sauti ya Amerika (VOA) ni taasisi kubwa yenye aina mbalimbali za majukwaa ya matangazo ya habari za kimataifa, inayoandaa maudhui katika lugha zaidi ya 45 kwa wasikilizaji wenye kukabiliwa na ufinyu wa kupata habari au hawana njia ya kupata habari kutoka vyombo vilivyo huru.
Tshivis Tshivuadi Katibu Mkuu wa shirika la JED amesema kwamba matukio hayo yamepungua kwa asilimia 30 ukilinganisha na kipindi kama hiki mwaka 2018.