Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Oktoba 17, 2021 Local time: 15:23
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. Matangazo haya yanafuatilia kwa makini habari za siku nzima na kufafanua maelezo yake ili msikilizaji aweze kufahamu undani wa habari hiyo.

Ratiba: Jumatatu - Ijumaa
Saa: Saa tatu usiku (kwa saa za Afrika mashariki)
UTC: 1800 – 1830 (saa ya kimataifa)
Muda 30:00
XS
SM
MD
LG