Jumatano, Machi 26, 2025 Local time: 10:08
Mwezi wa Octoba dunia huadhimisha saratani ya matiti
Kila mwezi Octoba duniani huadhimisha saratani ya matiti , mwezi ambao umetengwa maalumu na umoja wa mataifa ili kutoa uelewa zaidi na hamasa kwa watu kujua saratani ya matiti na jinsi ya kuepuka hatari za kupata ugonjwa huu.