Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 13, 2021 Local time: 07:55

Sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani zinafanyika Ijumaa, Januari 20 ambapo Donald Trump na Michael R. Pence watakula kiapo. Utawala wa rais mpya unaanza saa sita mchana siku ya sherehe hizo, baada ya kula kiapo kitakachotolewa na Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu. Matukio maalum, sherehe na matamasha yenye watu maarufu yatakuwa sehemu ya sherehe sehemu kadha za jiji la Washington, D.C

Kuapishwa kwa Rais mteule Donald Trump

XS
SM
MD
LG