Rais wa Eritrea afanya ziara ya kihistoria Ethiopia
Rais wa Eritrea Isaias Afwerki, aliyesimama mbele ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Addis Ababa, Ethiopia, Jumamosi, July 15, 2018.
Waziri Mkuu wa Ethiopia akiwa na mgeni wake Rais wa Eritrea
Baadhi ya viongozi wa Ethiopian waliofika kumpokea Rais wa Eritrea
Watumbuizaji wa ngoma za asili Ethiopia waliofika kumkaribisha Rais wa Eritrea Isaias Afwerki
Watumbuizaji wa ngoma za asili wa Ethiopia wakicheza kumkaribisha Rais wa Eritrea Isaias Afwerki
Wananchi wa Ethiopia wakishangilia kuwasili kwa Rais wa Eritrea's Isaias Afwerki
Wapanda farasi wa Ethiopia wakishiriki katika kumkaribisha Rais wa Eritrea Isaias Afwerki
Bendera za Ethiopia and Eritrea zikipepea Addis Ababa
Wapanda farasi wa Ethiopia wakihudhuria sherehe za kumkaribisha Rais wa EritreaIsaias Afwerki