Zaidi ya watu 500 wafariki katika mafuriko DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Watu zaidi ya 500 wamefariki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na mvua kubwa zilizoendelea kunyesha kwa siku ya nne mfululizo.

Ndege za kivita za Sudan zimeendelea na mashambulizi ya anga katika mji mkuu wa Khartoum na miji mingine licha ya kuwepo mazungumzo ya sitisho la mapigano.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari