Siku ya ukimwi duniani

Wanawake na watoto wa Nepal wakiwasha mishumaa siku moja kabla ya kuadhimisha siku ya ukimwi duniani.

Mtawa akipita karibu na saini ya ukimwi wakati wa kampeni za kuadhimisha siku ya ukimwi duniani huko Seoul, Korea kusini.

Mwanaume mmoja akipita karibu na saini ya ukanda unaoonyesha ishara ya siku ya kimataifa ya ukimwi duniani

Ubao unaooshesha siku ya ukimwi duniani

Wanafunzi wa huduma za afya wa Indonesia wakiwasha mishumaa wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani.

wanafunzi wa shule wa upili wakitengeneza ishara ya ribbon kwa kutumia mwamvuli