Wizara ya Kilimo Kenya yasema hali ya ukame inazidi kuleta maafa makubwa

Your browser doesn’t support HTML5

Katibu mwandamizi katika Wizara ya Kilimo Kenya anasema Wakenya zaidi ya milioni nne wanahitaji usaidizi, huku waathirika wakiwa katika kaunti 23 kame na nusu kame, huku idadi kubwa ya watoto na kina mama wakiwa na utapiamlo.