Waziri wa Fedha wa Marekani aipongeza Afrika Kusini kwa ujasiri wake

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Fedha wa Marekani Alhamisi ameipongeza Afrika Kusini kwa kile alichokiita ujasiri wake katika ushirikiano wa mpito wa nishati unaoungwa mkono na Marekani na mataifa mengine ya Magharibi. Ungana na mwandishi wetu kwa ripoti kamili...