Wataalam waeleza athari za vita vya uvamizi vya Russia barani Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Wataalam waeleza athari za vita na vikwazo vya uchumi dhidi ya Kremlin tayari imeanza kusababisha ongezeko la bei ya bidhaa za kilimo na nafaka zinazoagizwa kutoka nje barani Afrika.

- Kwa upande wake mmiliki wa duka la mikate Lagos, Nigeria, anaeleza mgogoro wa mfumuko wa bei umefika kama dharuba.