Polisi nchini Kenya wamesema wamewaua wanaume watano ambao wametajwa kama washukiwa wa ugaidi. Walinda usalama wamesema watu hao walikuwa wanasakwa na maafisa wa usalama kwa muda mrefu.
Mauaji hayo yametokea katika mji wa kitalii wa Malindi ulio pwani ya Kenya na polisi wamewaonyesha waandishi wa habari vilipuzi na silaha zingine wanazosema zilikuwa ndani ya nyumba ya washukiwa. Mwandishi wa Sauti ya Amerika Josephat Kioko ameandaa taarifa hiyo kutoka Mombasa...
Your browser doesn’t support HTML5
Mauaji Mombasa