Warepublikan hawaridhishwi na mswaada wa kupunguza mfumuko wa bei

Your browser doesn’t support HTML5

Warepublikan wanaeleza mashaka yao kuhusu mswaada wa kupunguza mfumuko wa bei wakidai ulikuwa umefikiwa makubaliano kati ya kiongozi wa Wademokrat waliowengi katika Baraza la Seneti Schumer, na Seneta Joe Manchin (Mrepublikan) kwa siri.