Wapinzani 80 kutoka vyama vya upinzani wakamatwa Zimbabwe

Your browser doesn’t support HTML5

Takriban wafuasi 80 wa vyama vya upinzani nchini Zimbabwe wanazuiliwa na polisi katika mji wa Mavingo baada ya kukamatwa mwisho wa wiki kabla ya kuhudhuria mkutano uliokuwa unafanyika Harare.