Wanawake wahimizwa kutumia fursa kupima saratani ya shingo ya kizazi

Your browser doesn’t support HTML5

Januari ni mwezi wa kuhamasisha uelewa kuhusu saratani ya shingo ya kizazi, mkazi wa Dar es Salaam atumia fursa ya kufika katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road kwa ajili ya kufanya vipimo kujua hali yake.

Ungana na mwandishi wetu akieleza umuhimu wa kutumia fursa ya siku ya Saratani na utaratibu ukoje? Pia atoa ushauri kwa viongozi kusikiliza kilio cha kinamama...