Wananchi waeleza hisia zao juu ya uamuzi wa Rais Tshisekedi kuzungumza na waasi

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waeleza wasiwasi wao kuhusu mazungumzo yanayofanyika Nairobi katika kutafuta usalama wa eneo la mashariki ya DRC, mojawapo likiwa kuzungumza na makundi ya waasi.