Wananchi wa Ufaransa wenye asili ya kigeni walalamika juu ya ubaguzi wa rangi
Your browser doesn’t support HTML5
Raia wa Ufaransa mwenye asili ya kigeni adai polisi wa Ufaransa wanaweza kumuua mtu kwa sababu yoyote ile hata kama "tukiwa tumezaliwa Ufaransa." Anapaza sauti akisema jambo hili lazima likomeshwe.