Miili ya wanajeshi wa Tanzania yaagwa rasmi
Tanzania yawaaga rasmi wanajeshi waliouwawa DRC
Miili ya wanajeshi 14 ikiwasili katika viwanja vya Makao Makuu ya JWTZ kwa ajili ya sherehe ya kuagwa
Waziri mkuu akitoa heshima ya mwisho kwa miili ya marehemu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwapa mkono wa pole wafiwa
Wanajeshi wakitoa heshima zao za mwisho kuiaga miili ya wanajeshi wenzao
Tanzania Soldiers
Majaliwa at Farewell