Majeshi ya serikali ya Congo yawarudisha nyuma wapiganaji wa M23

DR Congo FADRC taker

Wanajeshi wa DRC washerekea ushindi dhidi ya M23 Kibati

Wanajeshi wa DRC wakitembea Kibati baada ya kuwarudisha nuyuma M23

Mnara wa mawasiliano uloharibiwa Kibati

Ngome iliyotekekezwa ya M23 Kibati

gari la M23 lililoharibiwa na majeshi ya DRC