Wanaharakati Kenya walaani hatua ya serikali Tanzania iliyopelekea Wamasai kujeruhiwa

Your browser doesn’t support HTML5

Wanaharakati kutoka jamii za Wamasai Kenya washiriki maandamano kupinga hatua ya serikali ya Tanzania kuwaondoa Wamasai kutoka hifadhi ya wanyama pori ya Ngorongoro.