Wanafunzi wengi California wafurahia kurejea madarasani
Your browser doesn’t support HTML5
Wanafunzi wengi katika Jimbo la California, Marekani wamefurahi kurejea madarasani katika msimu wa vuli, lakini ongezeko la maambukizi ya COVID-19 imesababisha vyuo vingi kurejea kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao.