Wanafunzi 30 wanufaika na programu ya Kiingereza inayotolewa na Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Wanafunzi 30 kutoka Tanzania, Kenya na Ethiopia ni kati ya wanafunzi 150,000 waliofaidika na programu ya Kiingereza ya English Access Scholarship.