Wakazi wa Mwanza wajitokeza kuuaga mwili wa hayati Magufuli

Msafara Uliobeba Mwili wa hayati Magufuli kuelekea CCM Kirumba. Global Publishers TV, Tanzania.

Wananchi wa Mwanza wamuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli. Picha na Ofisi ya Rais.

Wananchi wa Mwanza wamuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Picha na Ofisi ya Rais.

Wananchi wa Mwanza wamuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli

Magufuli akipitishwa mitaani kuagwa. Picha na Ofisi ya Rais. 

Wananchi wa Mwanza wamuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati  John Pombe Magufuli. Picha na Ofisi ya Rais.

-Wananchi wa Mwanza wamuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

-Wananchi wa Mwanza wamuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

-Wananchi wa Mwanza wamuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli > Picha na Ofisi ya Rais

-Wananchi wa Mwanza wamuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli. Picha na Ofisi ya Rais.

Maelfu ya wakazi wa Mwanza na maeneo jirani wamejitokeza kuupokea mwili wa hayati John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza na kuusindikiza mwili huo mpaka Uwanja wa CCM Kirumba ambapo shughuli ya kuuaga inafanyika.