Waislamu milioni 21 wa madhehebu ya Shia waadhimisha siku ya Arbaini mjini Karbala, Iraq

  • Abdushakur Aboud

Mahujaji wa madhehebu ya kishia wakishiriki kwenye kumbukumbu ya Imam Hussein mjuku wa Mtume Mohamed SAW, siku arbaini baada ya kufariki kwaka katika karne ya saba katika mji wa Karbala, Irak 

Mahujaji wakistaghfiru wakati wa sherehe za kumkumbuka Imam Hussien, mjukuu wa Mtume Mohamed SAW, mjini Karbala Irak. 

Mamilioni ya Mahujaji wa madhehebu ya kishia wakishiriki kwenye kumbukumbu ya Imam Hussein mjuku wa Mtume Mohamed SAW, siku arbaini baada ya kufariki kwaka katika karne ya saba katika mji wa Karbala, Irak 

Mahujaji wa madhehebu ya kishia wakishiriki kwenye kumbukumbu ya Imam Hussein mjuku wa Mtume Mohamed SAW, siku arbaini baada ya kufariki kwaka katika karne ya saba katika mji wa Karbala, Irak 

Mahujaji wa madhehebu ya kishia wakishiriki kwenye kumbukumbu ya Imam Hussein mjuku wa Mtume Mohamed SAW, siku arbaini baada ya kufariki kwaka katika karne ya saba katika mji wa Karbala, Irak 

Picha ya angani ikionesha mskiti ambako kuna makaburi ya Imam al-Abbas na Imam al-Hussein ambako kunafanyika sherehe za kumbukumu za siku Arboini mjini Karbala, Iraq. 

Mahujaji milioni 21, waislamu wa madhahebu ya kishia, wakiwa wamevaa nguo nyeusi wamekusanyika katika mji wa Karbala nchini Iraq kuadhimisha siku ya Arbaini, wakati nchi hiyo ikikabiliwa na misukosuko ya kisiasa.