Waindonesia wazuru eneo lililotengwa la watu 125 waliofariki katika ghasia

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Indonesia wametembelea eneo lililotengwa kwa ajili ya kumbukumbu ya watu 125 waliofariki katika uwanja wa soka, huku uchunguzi ukiendelea kutathmini jinsi polisi walivyoshughulikia ulinzi wa mashabiki katika uwanja huo.

Endelea kusikiliza namna mashuhuda walivyoeleza jinsi polisi walivyofanya katika tukio hilo.