Wageni watakiwa kuchukua tahadhari Malawi kufuatia mlipuko wa kipindupindu

Your browser doesn’t support HTML5

Afisa wa afya Wilaya ya Salima nchini Malawi amewataka watalii wanaotembelea nchi hiyo kuchukua tahadhari kutokana na kuongezeka kwa ugonjwa wa kipindupindu. Amesema kuna watu 764 walioambukizwa na 24 kufariki.

Hadi sasa watu waliofariki kutokana na kipindupindu wamefikia 214. Endelea kupata maelezo zaidi kutoka kwa mwandishi wetu kuhusu hatua zaidi zinazochukuliwa na serikali ya nchi hiyo...