Wafanyabiashara wa Soko la Kimataifa la Kariakoo wamesisitiza msimamo wao kutofungua maduka

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyabiashara wa Soko la Kimataifa la Kariakoo nchini Tanzania wamesisitiza msimamo wao wakutofungua maduka kutokana na changamoto zinazowakabili.

- Ukraine imetangaza Jumanne imetungua makombora sita yenye nguvu ya Russia ikizuia silaha kubwa ambapo hapo awali hazikuweza kuzuilika.