VOA Mitaani: Wakazi wa Mombasa wamtaka gavana mpya kuchukua hatua

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi Mkuu Kenya: Nini matarajio ya wakazi wa Mombasa, Kenya baada ya kupata gavana mpya? Ungana na Salma Mohamed akikuletea maoni ya wananchi kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa na gavana mpya.