Viongozi wa kidini walaani shambulizi la kanisani Mombasa

Polisi wa Mombasa wapita mbele ya watu wanaosimama nyuma ya eneo la usalama mbele ya kanisa ambalo washambuliaji waliwafyetulia risasi waumini, Likoni Mombasa, March 23, 2014.

Makachero na polisi wa Kenya wakikagua eneo la shambulizi ndani ya kanisa baada ya washambuklizi wawili kuingia na kuwashambulia waumini, Likoni,  Mombasa on Sunday a

Polisi akipita ndani ya kanisa baada ya wasahmbulizi kuwashambulia waumini mjini Mombasa, March 23, 2014.

Daktari katika hospitali ya Coast General akimhudumia moja wapo wa watu walojeruhiwa wakati wa shambulio ndani ya kanisa mtaani Likoni Mombasa March 23, 2014.

Mtu aliyejeruhiwa katika kanisa moja mtaa wa Likoni Mombasa akiugua kutokana na majeraha yake katika hospitali ya Coast General Mombasa March 23, 2014.

Ramani ya Kenya ikionyesha mji wa Mombasa