Viongozi wa EU waonyesha matumaini ya Ukraine kuingia katika umoja huo

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameeleza kuwa Umoja wa Ulaya unapaswa kufanya zaidi kwa nchi yake iliyokumbwa na uvamizi wa Russia.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari