Ghasia za kisiasa Sudan Kusini

Wakenya wanawasili nyumbani baada ya kusafirishwa kutoka Juba Sudan Kusini na ndege ya jeshi la anga la Kenya kwenye uwanja wa ndege wa Wilson Airport Nairobi, Kenya Sunday, Dec. 22, 2013.

wanajeshi wa SPLA wakipiga doria wakitumia lori la kijeshi mjini Juba December 21, 2013. Huku wapatanishi wa nchi za Kiafrika wakijaribu kukutana na wapinzani wa Rais salva Kiir wa Sudan Kusini siku ya Jumamosi. REUTERS/Stringer

Watu walokusanyika katika kambi y muda ndani ya uwanja wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa huko Sudan Kusini (UNMISS) mjini Juba Dec. 22, 2013.

Raia wanaokimbia ghasia wanapata hifadhi ndani ya uwanja wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Bor, jimbo la Jonglei Sudan Kuisni, Dec. 18, 2013.

Mtoto aliyekimbia kutoka nyumbani anabeba godoro lake akiingia kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa   (UNMIS) mjini Juba Dec 19, 2013.

Watoa huduma za afya kutoka Umoja wa Mataifa huko Sudan Kusini wakisaidia raia katika hospitali moja mjini Juba, Dec. 18 , 2013. (UNMISS)

Raia wakiwasili katika eneo la ofisi za UNMISS karibu na uwanja wa ndege wa Juba kuomba hifadhi, Dec. 17, 2013. (UNMISS)

Raia wakipumzika nje ya eneo la ofisi za Umoja wa Mataifa nje ya Juba, Disemba 17, 2013.

Raia wakiwasili katika eneo la ofisi za UNMISS karibu na uwanja wa ndege wa Juba, Dec. 17, 2013. (UNMISS)

Mwanajeshi wa Umoja wa Mataifa akisimama doria huku raia wakiwasili katika eneo la ofisi za UNMISS, Dec. 17, 2013. (UNMISS)

Raia zaidi wakiwasili UNMISS, Dec. 17, 2013. (UNMISS)

Tanki la jeshi likifanya doria katika moja ya barabara kuu mjini Juba, Dec. 16, 2013.