Vijimambo: Maajabu ya Babu wa Loliondo yaendelea

Wananchi kote Afrika Mashariki wanamiminika katika kijiji karibu na mji wa Loliondo nchini Tanzania kupata tiba ya maajabu kwa mchungaji anayejulikana kwa jina la 'Babu'