Uturuki imeanza kutathmini hasara iliyopatikana kutokana na tetemeko la ardhi

Your browser doesn’t support HTML5

Uturuki imeanza kutathmini hasara iliyopatikana kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea nchini humo.

Rais wa Uturuki Alhamisi alitembelea maeneo yaliyokumbwa na kuathiriwa na tetemeko hilo na kutangaza msaada wa serikali kwa wananchi walioathiriwa na maafa hayo. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili...