Upimaji wa COVID-19 unaendelea nchini India wakati maambukizi yakiongezeka
Mfanyakazi wa afya akimpima mkazi iwapo ana maambukizi ya COVID-19A karibu na eneo la makazi mini Mumbai, India Julia 16, 2020
Mkazi wa Mumbai aliyekuwa ana maambukizi ya virusi vya corona akiwa katika kituo cha afya akisubiri kupona.
Kijana akiwa amevaa barakoa amekaa mbele ya duka akitumia simu wakati maduka yalipotakiwa kufungwa ili kudhibiti maambukizi ya COVID-19 huko Hyderabad Julai 16, 2020.(Photo by NOAH SEELAM / AFP)
Mwanamke akichukuliwa kipimo cha COVID-19 katika kituo cha serikali mjini Hyderabad, India, Jumatano, Julai 15, 2020.(AP Photo/Mahesh Kumar A.)
Kijana wa kiume akipimwa COVID-19A katika kituo cha serikali mjini Hyderabad, India, July 15, 2020.