UN yataka kuwepo uchunguzi wa mauaji ya watu 168 Sudan

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa umetaka uchunguzi kufanyika kufuatia mauaji ya watu 168 katika mapigano yaliyojiri katika jimbo la Darfur, magharibi mwa Sudan.