UN yalaani mashambulizi nchini Yemen, Saudi Arabia

Your browser doesn’t support HTML5

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani kuongezeka kwa mashambulizi nchini Yemen hasa baada ya wapiganaji wa Kihuthi wanaoungwa mkono na Iran kufanya mashambulizi ya makombora dhidi ya vituo vya mafuta nchini Saudi Arabia.