UN : Vitisho dhidi ya wanaharakati Sudan Kusini vyakiuka mkataba

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa umesema vitisho vinavyotolewa dhidi ya wanaharakati wa kutetea haki za kiraia nchini Sudan Kusini vinakiuka mkataba wa amani uliosainiwa 2018 kwa lengo la kumaliza vita.