Waandamanaji wa upinzani wachukua udhibiti wa ikulu Ukraine

Kiongozi wa upinzani wa Ukraine Yulia Tymoshenko (Katikati) akisafirishwa kwenye kiti cha walemavu akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kiev baada ya kuachiliwa huru, Feb. 22, 2014.

Polisi wa kikosi maalum cha kupambana na ghasia cha  Berkut, wanajitayarisha kuondoka kutoka kambi yao mjini Kiev. wakuu wa idara nne za usalama za Ukraine pamoja na kikosi cha Berkut walikwenda bungeni Jumamosi na kutangaza kwamba hawatopambana tena na wananchi. .

Wapinzani wa serikali wasimama zamu wakilinda bunge la taifa mjini Kiev, siku ya Jumamosi baada ya rais na serikali yake kuondolewa madarakani.

Yevgenia Tymoshenko (kulia) akilia kutokana na furaha nyingie pale Bunge lilipopiga kura kuachiliwa kwa mamake, kiongozi wa upinzani Yulia Tymoshenko, wakati wa kikao maalum Jumamosi mjini Kyiv. Feb, 22 2014.

Wapinzani waonekana wakisafirishwa nadni ya lori inayoonekana ni la jeshi kati kati ya Kyiv.

Waandamanaji washika zamu mbele ya jengo la afisi ya rais baada ya kuondoka kwa vikosi vya usalama kati kati ya Kyiv.

Kiongozi moja wapo wa upinzani na mkuu wa chama cha UDAR (Punch) Vitaly Klitschko (kushoto) asalimiana na wapinzani wa serikali nje ya jengo la Bunge mjini Kyiv.

Watu wajadiliana mbele ya bango kubwa linaloonesha kiongozi wa upinzani wa Ukraine, Tymoshenko, kati kati ya Kiev

Mfuasi wa rais wa Ukraine aliyeondolewa madarakani Viktor Yanukovych, katikati ya ppicha akishambuliwa na wafuasi wa upinzani mjini Kiev.

Mpinzan i mmoja akipeperusha bendera ua Umoja wa laya katika nje ya makazi ya mapumziko ya Rais Viktor Yanukovych huko Mezhyhirya.

Wapinzani wa serikali wakisimama nje ya jengo la Bunge la Ukraine mjini Kiev

Kiongozi wa upinzani wa Ukraine na mkuu wa chama cha UDAR (Punch) Vitaly Klitschko (Kati mbele) azungumza na wabunge wenzake pamoja na spika mpya waq bunge Oleksander Turchynov (Kulia) wakati wa kikao cha bunge 

Two women prepare to place flowers on a wall in the Independence Square in Kyiv.

People carry the coffin of a protester, who was killed after days of violence, during a funeral service in Kyiv.

Anti-government protesters attack a deputy of the Party of Regions Vitaly Grushevsky (2nd L, front) outside the Ukrainian Parliament building in Kyiv.

Protesters march towards government buildings in central Kyiv.

Protesters gather in the Independence square in central Kyiv. Protesters claimed full control of the city following the signing of a Western-brokered peace deal aimed at ending the nation's three-month political crisis.