Rais wa Kenya atembelea wanajeshi hospitalini

Rais uhuru Kenyatta siku ya Ijumaa aliwatembelea wanajeshi waliojeruhiwa kufuatia shambulizi la kambi yao katika eneo la El Ade lililowaua wanajeshi wenzao. Kenyatta aliwafariji walinda usalama hao katika hospitali ya Forces Memorial mjini Nairobi.

Rais uhuru Kenyatta siku ya Ijumaa aliwatembelea wanajeshi waliojeruhiwa kufuatia shambulizi la kambi yao katika eneo la El Ade lililowaua wanajeshi wenzao. Kenyatta aliwafariji walinda usalama hao katika hospitali ya Forces Memorial mjini Nairobi. Tazama video hapa;

Your browser doesn’t support HTML5

Uhuru visits injured soldiers