Uganda yawanyima vibali waangalizi wa uchaguzi kutoka Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Uganda imewanyima vibali waangalizi wa Uchaguzi Mkuu kutoka Marekani.
- Wanaharakati waliokuwa wanaandamana Kenya kupinga dhulma dhidi ya wagombea wa upinzani Uganda wakamatwa.
- Baraza la Wawakilishi Marekani lajadili mswaada wa kumfungulia mashtaka Rais Donald Tump kumuondoa madarakani waanza Jumatano.