Rais Yoweri Museveni wa Uganda Jumatano amezindua Daraja jipya linalopita juu ya Mto Nile ambalo wataalamu wanasema litadumu kwa kipindi cha miaka 120 na litapunguza ajali.
Uganda yapata daraja jipya eneo la mto Nile
Watu wakiwa katika ufunguzi wa daraja la mto Nile nchini Uganda
Mandhari ya daraja la Mto Nile wakati wa usiku.
Nguzo za daraja la Mto Nile zinavyoonekana wakati wa usiku.
Daraja la Mto Nile linavyoonekana kwa mbali wakati wa usiku.
Daraja la Mto Nile likiwa katika masafa ya mbali.