Wanahabari Uganda walalamika kwa kutokuwa huru

Polisi wa Uganda nje ya nyumba ya mpinzani

Waandishi wa habari nchini Uganda, leo wamejiunga na wenzao ulimewenguni kote na kuadimisha siku ya uhuru wa wanahabari duniani kwa kueleza masaibu yao, hasa wakiwalenga maafisa wa polisi kwa kuwa kizingiti kikubwa kwa kazi yao.

Lakini polisi wanasema waandisi wa habari nchini humo, wanawachafua jina lao kila wakati na hivyo lazima watumie nguvu kukabiliana nao.

Mwandishi wetu wa Sauti ya Amerika mjini Kampala, Kennes Bwire, anaripoti:

Your browser doesn’t support HTML5

Uganda press freedom